Leviticus 23:42 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa muda wa siku saba mtaishi katika vibanda. Wakazi wote wa Israeli wataishi katika vibanda wakati huo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mtaishi katika vibanda kwa siku saba: Wazawa wote wa Waisraeli wataishi katika vibanda,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mtakaa katika vibanda muda wa siku saba; wazalia wote wa Israeli watakaa katika vibanda;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa muda wa siku saba mtaishi katika vibanda. Wakazi wote wa Israeli wataishi katika vibanda wakati huo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mtaishi katika vibanda kwa siku saba: Wazawa wote wa Waisraeli wataishi katika vibanda,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mtaishi katika vibanda kwa siku saba: Wazawa wote wa Waisraeli wataishi katika vibanda,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mtakaa katika vibanda muda wa siku saba; wazaliwa wote wa Israeli watakaa katika vibanda;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa muda wa siku saba mtaishi katika vibanda. Wakazi wote wa Israeli wataishi katika vibanda wakati huo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Na mkae vibandani siku saba, wote walio wenyeji kwao Waisiraeli na wakae vibandani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mtakaa katika vibanda muda wa siku saba; wazalia wote wa Israeli watakaa katika vibanda;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa muda wa siku saba mutaishi katika vibanda. Wakaaji wote wa Israeli wataishi katika vibanda wakati huo.