Leviticus 23:44 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mose akawatangazia Waisraeli sikukuu za Mwenyezi-Mungu zilizopangwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo Musa akawatangazia Waisraeli sikukuu zilizoamriwa na Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye Musa akawaambia wana wa Israeli hizo sikukuu za Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mose akawatangazia Waisraeli sikukuu za Mwenyezi-Mungu zilizopangwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo Mose akawatangazia Waisraeli sikukuu zilizoamuriwa na BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo Musa akawatangazia Waisraeli sikukuu zilizoamriwa na bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye Musa akawaambia wana wa Israeli hizo sikukuu za BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mose akawatangazia Waisraeli sikukuu za Mwenyezi-Mungu zilizopangwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mose akawaambia wana wa Isiraeli hizo sikukuu za Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye Musa akawaambia wana wa Israeli hizo sikukuu za BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musa akawatangazia Waisraeli sikukuu za Yawe zilizopangwa.