Leviticus 23:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Jioni ya siku ya kumi na nne ya mwezi wa kwanza mtaadhimisha kwa heshima yangu mimi Mwenyezi-Mungu sikukuu ya Pasaka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pasaka ya Mwenyezi Mungu huanza jioni ya siku ya kumi na nne ya mwezi wa kwanza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mwezi wa kwanza, siku ya kumi na nne ya mwezi wakati wa jioni, ni pasaka ya Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Jioni ya siku ya kumi na nne ya mwezi wa kwanza mtaadhimisha kwa heshima yangu mimi Mwenyezi-Mungu sikukuu ya Pasaka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pasaka ya BWANA huanza jioni ya siku ya kumi na nne ya mwezi wa kwanza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pasaka ya bwana huanza jioni ya siku ya kumi na nne ya mwezi wa kwanza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mwezi wa kwanza, siku ya kumi na nne ya mwezi wakati wa jioni, ni Pasaka ya BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Jioni ya siku ya kumi na nne ya mwezi wa kwanza mtaadhimisha kwa heshima yangu mimi Mwenyezi-Mungu sikukuu ya Pasaka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Katika mwezi wa kwanza siku ya kumi na nne ya mwezi saa za jioni ni Pasaka ya Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mwezi wa kwanza, siku ya kumi na nne ya mwezi wakati wa jioni, ni pasaka ya BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Magaribi ya siku ya kumi na ine ya mwezi wa kwanza mutafanya kwa heshima yangu mimi Yawe sikukuu ya Pasaka.