Leviticus 23:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Siku ya kumi na tano ya mwezi huohuo, sikukuu ya mikate isiyotiwa chachu itaanza. Kwa muda wa siku saba, mtakula mikate isiyotiwa chachu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Siku ya kumi na tano ya mwezi huo wa kwanza, Sikukuu ya Mwenyezi Mungu ya Mikate Isiyotiwa Chachu huanza; kwa siku saba, mtakula mikate isiyotiwa chachu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na siku ya kumi na tano ya mwezi ule ule ni sikukuu kwa Bwana ya mkate usiotiwa chachu; mtaila mikate isiyochachwa muda wa siku saba.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Siku ya kumi na tano ya mwezi huohuo, sikukuu ya mikate isiyotiwa chachu itaanza. Kwa muda wa siku saba, mtakula mikate isiyotiwa chachu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Siku ya kumi na tano ya mwezi huo wa kwanza Sikukuu ya BWANA ya Mikate Isiyotiwa Chachu huanza; kwa siku saba mtakula mikate isiyotiwa chachu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Siku ya kumi na tano ya mwezi huo wa kwanza, Sikukuu ya bwana ya Mikate Isiyotiwa Chachu huanza; kwa siku saba, mtakula mikate isiyotiwa chachu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na siku ya kumi na tano ya mwezi ule ule ni sikukuu kwa BWANA ya mkate usiotiwa chachu; mtaila mikate isiyochachwa muda wa siku saba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Siku ya kumi na tano ya mwezi huohuo, sikukuu ya mikate isiyotiwa chachu itaanza. Kwa muda wa siku saba, mtakula mikate isiyotiwa chachu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku ya kumi na tano ya mwezi uo huo ni sikukuu ya Bwana ya Mikate isiyochachwa; ndipo mle siku saba mikate isiyochachwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na siku ya kumi na tano ya mwezi ule ule ni sikukuu kwa BWANA ya mkate usiotiwa chachu; mtaila mikate isiyochachwa muda wa siku saba.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Siku ya kumi na tano ya mwezi huohuo, sikukuu ya Mikate Isiyotiwa Chachu itaanza. Kwa muda wa siku saba, mutakula mikate isiyotiwa chachu.