Leviticus 24:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
wakamtia ndani mpaka hapo watakapofunuliwa matakwa ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nao wakamweka mahabusu hadi mapenzi ya Mwenyezi Mungu yawe wazi kwao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao wakamtia kifungoni, ili wapate kuambiwa neno litakalotoka kinywani pa Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
wakamtia ndani mpaka hapo watakapofunuliwa matakwa ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nao wakamweka mahabusu mpaka mapenzi ya BWANA yatakapokuwa wazi kwao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nao wakamweka mahabusu mpaka mapenzi ya bwana yawe wazi kwao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao wakamtia kifungoni, ili wapate kuambiwa neno litakalotoka kinywani mwa BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
wakamtia ndani mpaka hapo watakapofunuliwa matakwa ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakamweka kifungoni, wapate kuelezwa, kinywa cha Bwana kitakavyowaambia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao wakamtia kifungoni, ili wapate kuambiwa neno litakalotoka kinywani pa BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
wakamutia katika kifungo mpaka pale watakapofunuliwa mapenzi ya Yawe.