Leviticus 24:22 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sheria hii yamhusu mgeni na mwenyeji. Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mtakuwa na sheria hiyo hiyo kwa mgeni na kwa mzawa. Mimi ndimi Mwenyezi Mungu, Mungu wenu.’ ”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mtakuwa na sheria moja tu, kwa huyo aliye mgeni, na kwa mzalia; kwa kuwa mimi ndimi Bwana, Mungu wenu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sheria hii yamhusu mgeni na mwenyeji. Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mtakuwa na sheria iyo hiyo kwa mgeni na kwa mzawa. Mimi ndimi BWANA Mungu wenu.’ ”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mtakuwa na sheria iyo hiyo kwa mgeni na kwa mzawa. Mimi ndimi bwana Mwenyezi Mungu wenu.’ ”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mtakuwa na sheria moja tu, kwa huyo aliye mgeni, na kwa mzaliwa; kwa kuwa mimi ndimi BWANA, Mungu wenu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sheria hii yamhusu mgeni na mwenyeji. Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hukumu za kwenu sharti ziwe moja, mwenye kuhukumiwa kama ni mgeni au kama ni mwenyeji. Kwani mimi Bwana ni Mungu wenu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mtakuwa na sheria moja tu, kwa huyo aliye mgeni, na kwa mzalia; kwa kuwa mimi ndimi BWANA, Mungu wenu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sheria hii inaelekea mugeni na mwenyeji. Mimi ni Yawe, Mungu wenu.