Leviticus 24:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ataziweka hizo taa katika kinara cha taa cha dhahabu safi ziwake daima mbele ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Taa zilizo juu ya kinara cha dhahabu safi mbele za Mwenyezi Mungu lazima zihudumiwe daima.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Atazitengeza hizo taa katika kile kinara kilicho safi mbele za Bwana daima.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ataziweka hizo taa katika kinara cha taa cha dhahabu safi ziwake daima mbele ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Taa zilizo juu ya kinara cha dhahabu safi mbele za BWANA lazima zihudumiwe mfululizo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Taa zilizo juu ya kinara cha dhahabu safi mbele za bwana lazima zihudumiwe daima.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Atazitengeneza hizo taa katika kile kinara kilicho safi mbele za BWANA daima.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ataziweka hizo taa katika kinara cha taa cha dhahabu safi ziwake daima mbele ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Penye kile kinara cha dhahabu tupu na azitengeneze taa zake, ziwake mbele ya Bwana siku zote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Atazitengeza hizo taa katika kile kinara kilicho safi mbele za BWANA daima.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ataweka hizo taa katika kinara cha taa cha zahabu safi ziwake siku zote mbele ya Yawe.