Leviticus 24:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Chukua unga laini, kilo kumi na mbili na kuoka mikate kumi na miwili.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Chukua unga laini, uoke mikate kumi na miwili, ukitumia sehemu mbili za kumi ya efa ya unga kwa kila mkate.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe utatwaa unga mwembamba, na kuoka mikate kumi na miwili ya huo unga; sehemu za kumi mbili za efa, zitakuwa katika mkate mmoja.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Chukua unga laini, kilo kumi na mbili na kuoka mikate kumi na miwili.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Chukua unga laini na uoke mikate kumi na miwili, ukitumia sehemu mbili za kumi za efa za unga kwa kila mkate.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Chukua unga laini, uoke mikate kumi na miwili, ukitumia sehemu mbili za kumi za efa za unga kwa kila mkate.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawe utatwaa unga mwembamba, na kuoka mikate kumi na miwili ya huo unga; sehemu za kumi mbili za efa, zitakuwa katika mkate mmoja.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Chukua unga laini, kilo kumi na mbili na kuoka mikate kumi na miwili.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena uchukue unga mwembamba, uuoke kuwa mikate kumi na miwili, kila mikate mmoja uwe wa pishi moja ya unga.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe utatwaa unga mwembamba, na kuoka mikate kumi na miwili ya huo unga; sehemu za kumi mbili za efa, zitakuwa katika mkate mmoja.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Twaa unga laini, kilo kumi na mbili na kupika mikate kumi na miwili.