Leviticus 24:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mikate hiyo itapangwa safu mbili juu ya meza ya dhahabu safi, kila safu mikate sita.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Iweke katika mistari miwili, kila mstari mikate sita, uiweke mbele za Mwenyezi Mungu juu ya meza iliyotengenezwa kwa dhahabu safi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe iweke mistari miwili, mikate sita kwa kila mstari, juu ya hiyo meza safi, mbele za Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mikate hiyo itapangwa safu mbili juu ya meza ya dhahabu safi, kila safu mikate sita.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Iweke katika mistari miwili, kila mstari mikate sita, uiweke mbele za BWANA juu ya meza iliyotengenezwa kwa dhahabu safi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Iweke katika mistari miwili, kila mstari mikate sita, uiweke mbele za bwana juu ya meza iliyotengenezwa kwa dhahabu safi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawe iweke mistari miwili, mikate sita kwa kila mstari, juu ya hiyo meza safi, mbele za BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mikate hiyo itapangwa safu mbili juu ya meza ya dhahabu safi, kila safu mikate sita.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha uiweke mistari miwili, kila mstari wenye mikate sita, juu ya meza ya dhahabu tupu mbele ya Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe iweke mistari miwili, mikate sita kwa kila mstari, juu ya hiyo meza safi, mbele za BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mikate hiyo itapangwa kwa mistari miwili juu ya meza ya zahabu safi, kila mustari mikate sita.