Leviticus 24:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kila siku ya Sabato Aroni ataipanga sawasawa katika safu mbele yangu mimi Mwenyezi-Mungu kwa niaba ya watu wa Israeli kama agano la milele.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mikate hii itawekwa mbele za Mwenyezi Mungu kila wakati, Sabato baada ya Sabato, kwa niaba ya Waisraeli, kuwa agano la kudumu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kila siku ya Sabato ataipanga mbele za Bwana daima; ni kwa ajili ya wana wa Israeli, agano la milele.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kila siku ya Sabato Aroni ataipanga sawasawa katika safu mbele yangu mimi Mwenyezi-Mungu kwa niaba ya watu wa Israeli kama agano la milele.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mikate hii itawekwa mbele za BWANA kila wakati, Sabato baada ya Sabato, kwa niaba ya Waisraeli, kuwa Agano la kudumu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mikate hii itawekwa mbele za bwana kila wakati, Sabato baada ya Sabato, kwa niaba ya Waisraeli, kuwa Agano la kudumu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kila siku ya Sabato ataipanga mbele za BWANA daima; ni kwa ajili ya wana wa Israeli, agano la milele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kila siku ya Sabato Aroni ataipanga sawasawa katika safu mbele yangu mimi Mwenyezi-Mungu kwa niaba ya watu wa Israeli kama agano la milele.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kila siku ya mapumziko sharti aitengeneze tena mbele ya Bwana pasipo kukoma. Hili na liwe agano la kale na kale nao wana wa Isiraeli, wasiache kuitoa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kila siku ya Sabato ataipanga mbele za BWANA daima; ni kwa ajili ya wana wa Israeli, agano la milele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kila siku ya Sabato Haruni ataipanga sawasawa katika mustari mbele yangu mimi Yawe kwa ajili ya watu wa Israeli kama vile agano la milele.