Leviticus 25:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu alimwambia Mose huko mlimani Sinai,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu akamwambia Musa katika Mlima Sinai,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha Bwana akanena na Musa katika mlima wa Sinai, na kumwambia,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu alimwambia Mose huko mlimani Sinai,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA akamwambia Mose katika Mlima Sinai,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana akamwambia Musa katika Mlima Sinai,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha BWANA akanena na Musa katika mlima wa Sinai, na kumwambia,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu alimwambia Mose huko mlimani Sinai,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana akamwambia Mose kule mlimani kwa Sinai kwamba:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha BWANA akanena na Musa katika mlima wa Sinai, na kumwambia,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe alimwambia Musa kule juu ya mulima Sinai: