Leviticus 25:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwaka huo ni wa sikukuu kwenu; utakuwa mwaka mtakatifu. Hivyo mtakula yale yanayoota yenyewe mashambani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa kuwa ni Yubile, nayo itakuwa takatifu kwenu; mtakula tu kile kilichotoka moja kwa moja mashambani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa kuwa ni yubile; utakuwa mwaka mtakatifu kwenu; mtakula maongeo yake yatokayo shambani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwaka huo ni wa sikukuu kwenu; utakuwa mwaka mtakatifu. Hivyo mtakula yale yanayoota yenyewe mashambani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa kuwa ni yubile, nayo itakuwa takatifu kwenu; mtakula tu kile kilichotoka moja kwa moja mashambani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa kuwa ni yubile, nayo itakuwa takatifu kwenu; mtakula tu kile kilichotoka moja kwa moja mashambani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa kuwa ni jubilii; utakuwa mwaka mtakatifu kwenu; mtakula mavuno yake yatokayo shambani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwaka huo ni wa sikukuu kwenu; utakuwa mwaka mtakatifu. Hivyo mtakula yale yanayoota yenyewe mashambani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani ndio mwaka wa shangwe, nao sharti uwe mtakatifu kwenu, myale tu mashambani yatakayozaliwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa kuwa ni yubile; utakuwa mwaka mtakatifu kwenu; mtakula maongeo yake yatokayo shambani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mwaka huo ni wa sikukuu kwenu, utakuwa mwaka mutakatifu. Hivyo mutakula yale yanayoota yenyewe katika mashamba.