Leviticus 25:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Katika mwaka huo chochote ambacho kiliuzwa ni lazima kirudishwe kwa mwenyewe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Katika huu Mwaka wa Yubile, kila mmoja atarudi kwenye mali yake mwenyewe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mwaka huo wa yubile mtairudia kila mtu milki yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Katika mwaka huo chochote ambacho kiliuzwa ni lazima kirudishwe kwa mwenyewe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Katika Mwaka huu wa Yubile kila mmoja atarudi kwenye mali yake mwenyewe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Katika huu Mwaka wa Yubile, kila mmoja atarudi kwenye mali yake mwenyewe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mwaka huo wa jubilii mtairudia kila mtu milki yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Katika mwaka huo chochote ambacho kiliuzwa ni lazima kirudishwe kwa mwenyewe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Katika mwaka ulio wa shangwe kila mtu wa kwenu sharti azirudie mali zilizokuwa zake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mwaka huo wa yubile mtairudia kila mtu milki yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Katika mwaka huo chochote ambacho kiliuzishwa kinapaswa kirudishwe kwa mwenyeji.