Leviticus 25:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Unaponunua au kuuza ardhi kwa jirani usimpunje.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Ikiwa utauza ardhi kwa mmoja wa wazawa wa nchi yako, au ukinunua ardhi kutoka kwake, mmoja asimpunje mwingine.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena kama ukimwuzia jirani yako cho chote, au kununua cho chote mkononi mwa jirani yako, msidanganyane wenyewe kwa wenyewe;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Unaponunua au kuuza ardhi kwa jirani usimpunje.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Ikiwa utauza ardhi kwa mmoja wa wazawa wa nchi yako, au ukinunua ardhi kutoka kwake, mmoja asimpunje mwingine.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Ikiwa utauza ardhi kwa mmoja wa wazawa wa nchi yako, au ukinunua ardhi kutoka kwake, mmoja asimpunje mwingine.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena kama ukimwuzia jirani yako chochote, au kununua chochote mkononi mwa jirani yako, msidanganyane wenyewe kwa wenyewe;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Unaponunua au kuuza ardhi kwa jirani usimpunje.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo akimwuzia mwenzake kitu au akinunua kitu mkononi mwa mwenzake, msidanganyane wenyewe na wenyewe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena kama ukimwuzia jirani yako cho chote, au kununua cho chote mkononi mwa jirani yako, msidanganyane wenyewe kwa wenyewe;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Unaponunua au kuuzisha shamba kwa mwenzako usimupunje.