Leviticus 25:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama miaka inayohusika ni mingi utaongeza bei na kama miaka hiyo ni michache utapunguza bei, kwani bei yake itapimwa kulingana na mazao anayokuuzia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Miaka inapokuwa mingi, utaongeza bei, nayo miaka ikiwa michache, utapunguza bei, kwa sababu kile anachokuuzia kwa hakika ni hesabu ya mazao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kama hesabu ya miaka ilivyo ni nyingi ndivyo utakavyoongeza bei yake, na kama hesabu ya miaka ilivyo ni chache ndivyo utakavyopunguza bei yake; kwani yeye akuuzia mavuno kama hesabu yake ilivyo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama miaka inayohusika ni mingi utaongeza bei na kama miaka hiyo ni michache utapunguza bei, kwani bei yake itapimwa kulingana na mazao anayokuuzia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Miaka inapokuwa mingi, utaongeza bei, nayo miaka ikiwa michache, utapunguza bei, kwa sababu kile anachokuuzia kwa hakika ni hesabu ya mazao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Miaka inapokuwa mingi, utaongeza bei, nayo miaka ikiwa michache, utapunguza bei, kwa sababu kile anachokuuzia kwa hakika ni hesabu ya mazao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kama hesabu ya miaka ilivyo ni nyingi ndivyo utakavyoongeza bei yake, na kama hesabu ya miaka ilivyo ni chache ndivyo utakavyopunguza bei yake; kwani yeye akuuzia mavuno kama hesabu yake ilivyo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama miaka inayohusika ni mingi utaongeza bei na kama miaka hiyo ni michache utapunguza bei, kwani bei yake itapimwa kulingana na mazao anayokuuzia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Miaka itakayosalia ikiwa mingi, mwiongeze bei yake; lakini miaka itakayosalia ikiwa michache, mwipunguze bei yake, kwani yeye hukuuzia mavuno ya miaka tu inayohesabika.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kama hesabu ya miaka ilivyo ni nyingi ndivyo utakavyoongeza bei yake, na kama hesabu ya miaka ilivyo ni chache ndivyo utakavyopunguza bei yake; kwani yeye akuuzia mavuno kama hesabu yake ilivyo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama miaka ni mingi utaongeza bei na kama miaka hiyo ni michache utapunguza bei, maana bei yake itapimwa kulingana na mazao anayokuuzishia.