Leviticus 25:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nchi itatoa mazao yake nanyi mtakula na kushiba na kuishi humo kwa usalama.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha nchi itazaa matunda yake, nanyi mtakula na kushiba na kuishi humo kwa salama.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nayo nchi itazaa matunda yake, nanyi mtakula na kushiba, na kuketi humo salama.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nchi itatoa mazao yake nanyi mtakula na kushiba na kuishi humo kwa usalama.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha nchi itazaa matunda yake, nanyi mtakula na kushiba na kuishi humo kwa salama.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha nchi itazaa matunda yake, nanyi mtakula na kushiba na kuishi humo kwa salama.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nayo nchi itazaa matunda yake, nanyi mtakula na kushiba, na kuishi humo salama.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nchi itatoa mazao yake nanyi mtakula na kushiba na kuishi humo kwa usalama.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nayo nchi hiyo itawapa mazao yake, mle na kushiba, nanyi mtakaa huko na kutulia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nayo nchi itazaa matunda yake, nanyi mtakula na kushiba, na kuketi humo salama.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Inchi itatoa mazao yake nanyi mutakula na kushiba na kuishi mule kwa usalama.