Leviticus 25:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini labda mtafikiri, ‘Tutakula nini katika mwaka wa saba iwapo haturuhusiwi kupanda wala kuvuna mazao yetu?’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwaweza kuuliza, “Tutakula nini katika mwaka wa saba ikiwa hatutapanda wala kuvuna mazao yetu?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na kama mkisema, Je! Mwaka wa saba tutakula nini? Angalieni hatutapanda mbegu, wala kukusanya maongeo yetu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini labda mtafikiri, ‘Tutakula nini katika mwaka wa saba iwapo haturuhusiwi kupanda wala kuvuna mazao yetu?’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mwaweza kuuliza, “Tutakula nini katika mwaka wa saba ikiwa hatutapanda wala kuvuna mazao yetu?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mwaweza kuuliza, “Tutakula nini katika mwaka wa saba ikiwa hatutapanda wala kuvuna mazao yetu?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na kama mkisema, Je! Mwaka wa saba tutakula nini? Angalieni hatutapanda mbegu, wala kukusanya mavuno yetu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini labda mtafikiri, ‘Tutakula nini katika mwaka wa saba iwapo haturuhusiwi kupanda wala kuvuna mazao yetu?’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mkiuliza: Tutakula nini katika mwaka wa saba, tusipopanda mbegu, tena tusipoyakusanya mapato yatupasayo?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na kama mkisema, Je! Mwaka wa saba tutakula nini? Angalieni hatutapanda mbegu, wala kukusanya maongeo yetu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini labda mutafikiri: Tutakula nini katika mwaka wa saba ijapokuwa haturuhusiwi kupanda wala kuvuna mazao yetu?