Leviticus 25:22 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtakapopanda katika mwaka wa nane mtakuwa mnakula mazao ya zamani na mtaendelea kula tu hata mwaka wa tisa mtakapoanza tena kuvuna.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mnapopanda mwaka wa nane, mtakula mavuno ya miaka iliyopita, na mtaendelea kuyala mazao hayo hadi mvune mavuno ya mwaka wa tisa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na mwaka wa nane mtapanda mbegu, na kuyala yale matunda, akiba hiyo ya zamani, hata mwaka wa kenda, hata matunda yake yatakapoletwa ndani, mtakula hiyo akiba ya zamani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtakapopanda katika mwaka wa nane mtakuwa mnakula mazao ya zamani na mtaendelea kula tu hata mwaka wa tisa mtakapoanza tena kuvuna.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Iwapo mtapanda mwaka wa nane mtakula mavuno ya miaka iliyopita, pia mtaendelea kuyala mazao hayo mpaka yajapo mavuno ya mwaka wa tisa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mnapopanda mwaka wa nane, mtakula mavuno ya miaka iliyopita. Pia mtaendelea kuyala mazao hayo hadi mvune mavuno ya mwaka wa tisa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na mwaka wa nane mtapanda mbegu, na kuyala yale matunda, akiba hiyo ya zamani, hata mwaka wa tisa, hadi matunda yake yatakapoletwa ndani, mtakula hiyo akiba ya zamani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtakapopanda katika mwaka wa nane mtakuwa mnakula mazao ya zamani na mtaendelea kula tu hata mwaka wa tisa mtakapoanza tena kuvuna.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mpande tena mbegu katika mwaka wa nane mkila mapato ya kale; mpaka mtakapoingiza mavuno ya mwaka wa tisa, na myale yale ya kale.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na mwaka wa nane mtapanda mbegu, na kuyala yale matunda, akiba hiyo ya zamani, hata mwaka wa kenda, hata matunda yake yatakapoletwa ndani, mtakula hiyo akiba ya zamani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutakapopanda katika mwaka wa nane mutakuwa munakula mazao ya zamani na mutaendelea kula tu hata mwaka wa tisa mutakapoanza tena kuvuna.