Leviticus 25:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndiyo maana katika nchi yote mtakuwa na utaratibu wa kuikomboa ardhi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Katika nchi yote mtakayoshika kuwa milki yenu, ni lazima mtoe ukombozi wa ardhi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nanyi mtatoa ukombozi kwa ajili ya nchi, katika nchi yote ya milki yenu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndiyo maana katika nchi yote mtakuwa na utaratibu wa kuikomboa ardhi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Katika nchi yote mtakayoshika kuwa milki yenu, ni lazima mtoe ukombozi wa ardhi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Katika nchi yote mtakayoshika kuwa milki yenu, ni lazima mtoe ukombozi wa ardhi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nanyi mtatoa ukombozi kwa ajili ya nchi, katika eneo lote la milki yenu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndiyo maana katika nchi yote mtakuwa na utaratibu wa kuikomboa ardhi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Po pote, mtakapotwaa nchi kuwa yenu, sharti mwache njia ya kuikomboa hiyo nchi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nanyi mtatoa ukombozi kwa ajili ya nchi, katika nchi yote ya milki yenu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ndiyo maana katika inchi yote mutakuwa na utaratibu wa kukomboa mashamba.