Leviticus 25:26 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ikiwa mtu huyo hana ndugu mwenye jukumu la kuikomboa, lakini baadaye akawa tajiri na kupata uwezo wa kuikomboa ardhi yake,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Iwapo mtu huyo hana jamaa wa karibu wa kukomboa mali hiyo kwa ajili yake, lakini yeye mwenyewe akafanikiwa na kupata mali itoshayo kuikomboa,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na kama mtu hana atakayeikomboa, naye mwenyewe amepata mali na kujiona kuwa anayo ya kutosha kuikomboa;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ikiwa mtu huyo hana ndugu mwenye jukumu la kuikomboa, lakini baadaye akawa tajiri na kupata uwezo wa kuikomboa ardhi yake,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Iwapo mtu huyo hana jamaa wa karibu wa kukomboa mali hiyo kwa ajili yake, lakini yeye mwenyewe akafanikiwa na kupata njia itoshayo kuikomboa,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Iwapo mtu huyo hana jamaa wa karibu wa kukomboa mali hiyo kwa ajili yake, lakini yeye mwenyewe akafanikiwa na kupata mali itoshayo kuikomboa,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na kama mtu hana atakayeikomboa, naye mwenyewe amepata mali na kujiona kuwa anayo ya kutosha kuikomboa;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ikiwa mtu huyo hana ndugu mwenye jukumu la kuikomboa, lakini baadaye akawa tajiri na kupata uwezo wa kuikomboa ardhi yake,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama mtu hana mkombozi, lakini akiweza kujipatia kwa mkono wake mali zitoshazo za kukikomboa,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na kama mtu hana atakayeikomboa, naye mwenyewe amepata mali na kujiona kuwa anayo ya kutosha kuikomboa;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ikiwa mutu yule hana ndugu mwenye madaraka ya kulikomboa, lakini nyuma akakuwa tajiri na kupata uwezo wa kulikomboa shamba lake,