Leviticus 25:27 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
basi, atahesabu miaka inayohusika tangu alipoiuza na kulipa gharama zake; na yule mtu aliyeinunua ni lazima amrudishie.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ataamua tena thamani yake kwa miaka tangu alipoiuza, na kurudisha kiasi kilichobaki cha thamani kwa mtu aliyekuwa amemuuzia mali hiyo, naye ataweza kuirudia mali yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ndipo na aihesabu hiyo miaka ya kuuzwa kwake, na kilichozidi kumrudishia huyo mtu aliyeinunua; naye atairejea milki yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
basi, atahesabu miaka inayohusika tangu alipoiuza na kulipa gharama zake; na yule mtu aliyeinunua ni lazima amrudishie.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ataamua tena thamani yake kwa miaka tangu alipoiuza, na kurudisha kiasi kilichobaki cha thamani kwa mtu ambaye alikuwa amemwuzia mali hiyo, naye ataweza kuirudia mali yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ataamua tena thamani yake kwa miaka tangu alipoiuza, na kurudisha kiasi kilichobaki cha thamani kwa mtu ambaye alikuwa amemuuzia mali hiyo, naye ataweza kuirudia mali yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ndipo na aihesabu hiyo miaka ya kuuzwa kwake, na kilichozidi kumrudishia huyo mtu aliyeinunua; naye atairejea milki yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
basi, atahesabu miaka inayohusika tangu alipoiuza na kulipa gharama zake; na yule mtu aliyeinunua ni lazima amrudishie.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
na aihesabu hiyo miaka iliyopita tangu hapo, alipokiuza, nazo mali zitakazosalia sharti amrudishie yule mtu aliyemwuzia hicho kipande cha shamba. Hivyo ndivyo, atakavyokirudia, kiwe chake tena.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ndipo na aihesabu hiyo miaka ya kuuzwa kwake, na kilichozidi kumrudishia huyo mtu aliyeinunua; naye atairejea milki yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
basi, atahesabu miaka tangu alipoliuzisha na kulipa garama zake. Yule mutu aliyelinunua anapaswa kumurudishia.