Leviticus 25:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa muda wa miaka sita mtailima nchi, mtapanda, mtapogoa mizabibu yenu na kuvuna mazao yenu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa miaka sita mtapanda mazao katika mashamba yenu, nanyi kwa miaka sita mtaikata mizabibu yenu matawi na kuvuna mazao yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Panda shamba lako miaka sita, na miaka sita lipelee shamba lako la mizabibu, na kuyachuma matunda yake;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa muda wa miaka sita mtailima nchi, mtapanda, mtapogoa mizabibu yenu na kuvuna mazao yenu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa miaka sita mtapanda mazao katika mashamba yenu, nanyi kwa miaka sita mtaikata mizabibu yenu matawi na kuvuna mazao yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa miaka sita mtapanda mazao katika mashamba yenu, nanyi kwa miaka sita mtaikata mizabibu yenu matawi na kuvuna mazao yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Panda shamba lako miaka sita, na miaka sita lipelee shamba lako la mizabibu, na kuyachuma matunda yake;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa muda wa miaka sita mtailima nchi, mtapanda, mtapogoa mizabibu yenu na kuvuna mazao yenu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Miaka sita upande mbegu mashambani kwako, tena miaka sita uikatie mizabibu yako, upate kuyachuma mazao yao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Panda shamba lako miaka sita, na miaka sita lipelee shamba lako la mizabibu, na kuyachuma matunda yake;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa muda wa miaka sita mutalima udongo, mutapanda, mutakata matawi ya mizabu yenu na kuvuna mazao yenu.