Leviticus 25:34 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini mashamba wanayomiliki Walawi kwa pamoja, yasiuzwe, kwani huo ni urithi wao wa kudumu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini maeneo ya malisho yaliyo mali ya miji yao kamwe yasiuzwe, ni milki yao ya kudumu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini konde la malisho ya miji yao lisiuzwe kwa kuwa ni milki yao ya daima.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini mashamba wanayomiliki Walawi kwa pamoja, yasiuzwe, kwani huo ni urithi wao wa kudumu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini nchi ya malisho iliyo mali ya miji yao kamwe isiuzwe, ni milki yao ya kudumu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini nchi ya malisho iliyo mali ya miji yao kamwe isiuzwe, ni milki yao ya kudumu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini konde la malisho ya miji yao lisiuzwe kwa kuwa ni milki yao ya daima.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini mashamba wanayomiliki Walawi kwa pamoja, yasiuzwe, kwani huo ni urithi wao wa kudumu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini malisho ya miji yao hayauziki, kwani ni fungu lao kuwa yao kale na kale.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini konde la malisho ya miji yao lisiuzwe kwa kuwa ni milki yao ya daima.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini mashamba Walawi wanayorizi kwa pamoja, yasiuzishwe, maana huo ni urizi wao wa kudumu.