Leviticus 25:35 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Kama ndugu yako amekuwa maskini hata asiweze kujitunza mwenyewe akiwa pamoja nawe, ni lazima umtunze aendelee kuishi nawe; mtendee kama mgeni au msafiri aliye kwako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Ikiwa mmoja wa wazawa wa nchi yako amekuwa maskini, naye akashindwa kujitegemeza mwenyewe kati yako, msaidie vile ungemsaidia mgeni au mkazi wa muda, ili aweze kuendelea kuishi kati yako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na ikiwa ndugu yako amekuwa maskini, na mkono wake umelegea kwako, ndipo utamsaidia, atakaa nawe kama mgeni, na msafiri.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Kama ndugu yako amekuwa maskini hata asiweze kujitunza mwenyewe akiwa pamoja nawe, ni lazima umtunze aendelee kuishi nawe; mtendee kama mgeni au msafiri aliye kwako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Ikiwa mmoja wa wazawa wa nchi yako amekuwa maskini naye akashindwa kujitegemeza mwenyewe katikati yako, msaidie kama vile ambavyo ungelimsaidia mgeni au kama mkazi wa muda, ili aweze kuendelea kuishi katikati yako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Ikiwa mmoja wa wazawa wa nchi yako amekuwa maskini, naye akashindwa kujitegemeza mwenyewe katikati yako, msaidie kama vile ambavyo ungelimsaidia mgeni au kama mkazi wa muda, ili aweze kuendelea kuishi katikati yako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na ikiwa ndugu yako amekuwa maskini, na mkono wake umelegea kwako, ndipo utamsaidia, atakaa nawe kama mgeni, na msafiri.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Kama ndugu yako amekuwa maskini hata asiweze kujitunza mwenyewe akiwa pamoja nawe, ni lazima umtunze aendelee kuishi nawe; mtendee kama mgeni au msafiri aliye kwako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndugu yako akipatwa na ukosefu wa mali, asiweze tena kushikana mkono na wewe, sharti umpokee kuwa mgeni akaaye kwako na kujitunza kwako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na ikiwa ndugu yako amekuwa maskini, na mkono wake umelegea kwako, ndipo utamsaidia, atakaa nawe kama mgeni, na msafiri.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama ndugu yako amekuwa masikini hata asiweze kujitunza mwenyewe akiwa pamoja nawe, unapaswa kumutunza aendelee kuishi nawe ndivyo utakavyomutendea mugeni au musafiri anayekuwa kwako.