Leviticus 25:36 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Usimtake akulipe riba ya namna yoyote ile. Ila mche Mungu, naye ndugu yako apate kuishi pamoja nawe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Usichukue riba wala faida yoyote kutoka kwake, bali utamwogopa Mungu wako, ili mzawa wa nchi yako aweze kuendelea kuishi kati yako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Usitake riba kwake wala faida, bali mche Mungu wako, ili ndugu yako akae nawe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Usimtake akulipe riba ya namna yoyote ile. Ila mche Mungu, naye ndugu yako apate kuishi pamoja nawe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Usichukue riba wala faida yo yote kutoka kwake, bali utamwogopa Mungu wako, ili kwamba mzawa wa nchi yako aweze kuendelea kuishi katikati yako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Usichukue riba wala faida yoyote kutoka kwake, bali utamwogopa Mungu wako, ili mzawa wa nchi yako aweze kuendelea kuishi katikati yako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Usitake riba kwake wala faida, bali mche Mungu wako, ili ndugu yako akae nawe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Usimtake akulipe riba ya namna yoyote ile. Ila mche Mungu, naye ndugu yako apate kuishi pamoja nawe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Usimtoze faida ya kukopesha iliyo nyingi, ila umwogope Mungu wako, ndugu yako apate kujitunza kwako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Usitake riba kwake wala faida, bali mche Mungu wako, ili ndugu yako akae nawe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Usimwombe akulipe faida ya namna yoyote. Lakini umwogope Mungu, naye ndugu yako apate kuishi pamoja nawe.