Leviticus 25:37 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Usimkopeshe fedha kwa riba au kumpa chakula ili akulipe faida.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Usimkopeshe fedha ili alipe na riba, wala usimuuzie chakula kwa faida.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Usimpe fedha yako upate riba, wala usimpe vyakula vyako kwa kujitakia faida.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Usimkopeshe fedha kwa riba au kumpa chakula ili akulipe faida.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Usimkopeshe fedha ili alipe na riba, wala usimwuzie chakula kwa faida.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Usimkopeshe fedha ili alipe na riba, wala usimuuzie chakula kwa faida.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Usimpe fedha yako upate riba, wala usimpe vyakula vyako kwa kujitakia faida.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Usimkopeshe fedha kwa riba au kumpa chakula ili akulipe faida.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wala usimkopeshe fedha zako kwa kujitakia faida, wala usimpe chakula chake kwa kujitakia malipo yapitayo kiasi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Usimpe fedha yako upate riba, wala usimpe vyakula vyako kwa kujitakia faida.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Usimukopeshe feza kwa kupata faida au kumupa chakula kusudi akulipe faida.