Leviticus 25:39 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Kama ndugu yako anayeishi karibu nawe amekuwa maskini, akijiuza kwako, usimfanye akutumikie kama mtumwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Ikiwa mmoja wa wazawa wa nchi yako amekuwa maskini kati yako, naye akajiuza kwako, usimfanye atumike kama mtumwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena kwamba nduguyo amekuwa maskini pamoja nawe, akajiuza kwako; usimtumikishe mfano wa mtumwa;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Kama ndugu yako anayeishi karibu nawe amekuwa maskini, akijiuza kwako, usimfanye akutumikie kama mtumwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Ikiwa mmoja wa wazawa wa nchi yako amekuwa maskini katikati yako naye akajiuza kwako, usimfanye atumike kama mtumwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Ikiwa mmoja wa wazawa wa nchi yako amekuwa maskini katikati yako, naye akajiuza kwako, usimfanye atumike kama mtumwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena kwamba nduguyo amekuwa maskini pamoja nawe, akajiuza kwako; usimfanye akutumikie kama mtumwa;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Kama ndugu yako anayeishi karibu nawe amekuwa maskini, akijiuza kwako, usimfanye akutumikie kama mtumwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndugu yako akipatwa na ukosefu wa mali hapo alipo, akajiuza kwako, usimfanyishe kazi za utumwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena kwamba nduguyo amekuwa maskini pamoja nawe, akajiuza kwako; usimtumikishe mfano wa mtumwa;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama ndugu yako anayeishi karibu nawe amekuwa masikini, akijiuzisha kwako, usimufanye akutumikie kama mutumwa.