Leviticus 25:40 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Atakaa nawe kama mtumishi aliyeajiriwa au kama msafiri. Atakutumikia hadi mwaka wa kuadhimisha miaka hamsini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Atatendewa kama mfanyakazi aliyeajiriwa, au kama mkazi wa muda katikati yako; naye atatumika hadi Mwaka wa Yubile.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kwako wewe atakuwa mfano wa mtumishi aliyeajiriwa, au mfano wa msafiri; naye atatumika kwako hata mwaka wa yubile;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Atakaa nawe kama mtumishi aliyeajiriwa au kama msafiri. Atakutumikia hadi mwaka wa kuadhimisha miaka hamsini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Atatendewa kama mfanyakazi aliyeajiriwa, au kama mkazi wa muda katikati yako, naye atatumika mpaka Mwaka wa Yubile.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Atatendewa kama mfanyakazi aliyeajiriwa, au kama mkazi wa muda katikati yako, naye atatumika mpaka Mwaka wa Yubile.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kwako wewe atakuwa mfano wa mtumishi aliyeajiriwa, au mfano wa msafiri; naye atatumika kwako hadi mwaka wa jubilii;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Atakaa nawe kama mtumishi aliyeajiriwa au kama msafiri. Atakutumikia hadi mwaka wa kuadhimisha miaka hamsini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ila awe kwako kama mtu wa mshahara au kama mwingine akaaye kwako. Naye na akutumikie, hata mwaka wa shangwe utimie.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kwako wewe atakuwa mfano wa mtumishi aliyeajiriwa, au mfano wa msafiri; naye atatumika kwako hata mwaka wa yubile;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Atakaa nawe kama mutumishi wa kulipwa au kama musafiri. Atakutumikia mpaka kwa mwaka wa kukumbuka miaka makumi tano.