Leviticus 25:41 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwaka huo ni lazima umpe uhuru wake arudi kwa jamaa yake na urithi wa wazee wake; mwachie pamoja na jamaa yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo yeye na watoto wake wataachiwa, naye atarudi kwa watu wa ukoo wake, na kwenye mali ya baba zake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ndipo atakapotoka kwako aende zake, yeye na wanawe pamoja naye, naye atairejea jamaa yake mwenyewe, tena atairejea milki ya baba zake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwaka huo ni lazima umpe uhuru wake arudi kwa jamaa yake na urithi wa wazee wake; mwachie pamoja na jamaa yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo yeye na watoto wake wataachiwa, naye atarudi kwa watu wa ukoo wake na kwenye mali ya baba zake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo yeye na watoto wake wataachiwa, naye atarudi kwa watu wa ukoo wake, na kwenye mali ya baba zake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ndipo atakapotoka kwako aende zake, yeye na wanawe pamoja naye, naye atairejea jamaa yake mwenyewe, tena atairejea milki ya baba zake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwaka huo ni lazima umpe uhuru wake arudi kwa jamaa yake na urithi wa wazee wake; mwachie pamoja na jamaa yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, atakapopata kutoka kwako, yeye pamoja na watoto wake, arudi kwao walio ndugu zake, tena na alirudie fungu lao lililokuwa lao baba zake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ndipo atakapotoka kwako aende zake, yeye na wanawe pamoja naye, naye atairejea jamaa yake mwenyewe, tena atairejea milki ya baba zake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa mwaka huo unapaswa kumupa uhuru wake arudi kwa jamaa yake na urizi wa wazee wake, umwache pamoja na jamaa yake.