Leviticus 25:43 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Usimtawale ndugu yako kwa ukatili, ila utamcha Mungu wako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Usiwatawale kwa ukatili, lakini utamcha Mungu wako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Usitawale juu yake kwa nguvu; ila umche Mungu wako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Usimtawale ndugu yako kwa ukatili, ila utamcha Mungu wako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Usiwatawale kwa ukatili, lakini utamcha Mungu wako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Usiwatawale kwa ukatili, lakini utamcha Mungu wako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Usitawale juu yake kwa nguvu; ila umche Mungu wako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Usimtawale ndugu yako kwa ukatili, ila utamcha Mungu wako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nawe usimtawale kwa ukorofi, ila umwogope Mungu wako!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Usitawale juu yake kwa nguvu; ila umche Mungu wako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Usimukamate ndugu yako kwa kinguvu, lakini utamwogopa Mungu wako.