Leviticus 25:44 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kuhusu watumwa, wa kike na wa kiume, unaweza kuwanunua kutoka kwa watu wa mataifa mengine ya jirani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Watumwa wako wa kiume na wa kike watatoka katika mataifa yanayokuzunguka; unaweza kununua watumwa kutoka kwao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena katika habari za watumwa wako na wajakazi wako, utakaokuwa nao; mataifa walio kando-kando yenu, katika hao mtanunua watumwa na wajakazi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kuhusu watumwa, wa kike na wa kiume, unaweza kuwanunua kutoka kwa watu wa mataifa mengine ya jirani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Watumwa wako wa kiume na wa kike watatoka katika mataifa yanayokuzunguka; kutoka kwao waweza kununua watumwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Watumwa wako wa kiume na wa kike watatoka katika mataifa yanayokuzunguka; kutoka kwao waweza kununua watumwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena kuhusu watumishi wako na wajakazi wako, utakaokuwa nao; mataifa walio kando yenu, katika hao mtanunua watumishi na wajakazi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kuhusu watumwa, wa kike na wa kiume, unaweza kuwanunua kutoka kwa watu wa mataifa mengine ya jirani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama unataka kuwa mwenye watumwa wako na vijakazi wako, jinunulie watumwa na vijakazi kwao wamizimu watakaokaa na kuwazunguka ninyi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena katika habari za watumwa wako na wajakazi wako, utakaokuwa nao; mataifa walio kando-kando yenu, katika hao mtanunua watumwa na wajakazi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Juu ya watumwa na wajakazi, unaweza kuwanunua kutoka kwa watu wa mataifa mengine jirani.