Leviticus 25:45 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Unaweza pia kununua watumwa kutoka kwa wageni wanaokaa pamoja nawe na jamaa zao waliozaliwa nchini mwenu; nao watakuwa mali yako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pia unaweza kununua baadhi ya wakazi wa muda wanaoishi kati yako, na jamaa ya koo zao waliozaliwa katika nchi yako; nao watakuwa mali yako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena katika wana wa wageni wakaao kati yenu mtajinunulia, na katika jamaa zao walio pamoja nanyi, waliowazaa katika nchi yenu; wao watakuwa milki yenu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Unaweza pia kununua watumwa kutoka kwa wageni wanaokaa pamoja nawe na jamaa zao waliozaliwa nchini mwenu; nao watakuwa mali yako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pia waweza kununua baadhi ya wakazi wa muda wanaoishi katikati yako na jamaa ya koo zao waliozaliwa katika nchi yako, nao watakuwa mali yako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pia waweza kununua baadhi ya wakazi wa muda wanaoishi katikati yako, na jamaa ya koo zao waliozaliwa katika nchi yako, nao watakuwa mali yako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena wana wa wageni wakaao kati yenu mtajinunulia, na katika jamaa zao walio pamoja nanyi, waliowazaa katika nchi yenu; wao watakuwa milki yenu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Unaweza pia kununua watumwa kutoka kwa wageni wanaokaa pamoja nawe na jamaa zao waliozaliwa nchini mwenu; nao watakuwa mali yako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hata kwa wana wao watakaokaa kwenu ugenini mtaweza kujinunulia, hata kwao wa uzao wao wataokaa kwenu, wao watakaozaliwa katika nchi yenu, basi, hao wataweza kuwa mali zenu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena katika wana wa wageni wakaao kati yenu mtajinunulia, na katika jamaa zao walio pamoja nanyi, waliowazaa katika nchi yenu; wao watakuwa milki yenu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Unaweza vilevile kununua watumwa kutoka kwa wageni wanaokaa pamoja nawe na jamaa zao waliozaliwa katika inchi yenu, nao watakuwa mali yako.