Leviticus 25:47 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Kama mgeni au msafiri anayekaa miongoni mwenu amekuwa tajiri na ndugu yako akawa maskini na kujiuza kwa huyo mgeni au huyo msafiri au kwa mmoja wa jamaa zao,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Ikiwa mgeni au mkazi wa muda katikati yako atakuwa tajiri, na mmoja wa wazawa wa nchi yako akawa maskini, naye akajiuza kwa yule mgeni anayeishi katikati yako, au kwa mmoja wa jamaa wa koo za wageni,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena kama mgeni au mtu akaaye nawe akitajirika, na nduguyo amekuwa maskini karibu naye, akajiuza kwa huyo mgeni, au kwa huyo akaaye kwako, au kwa ukoo wa jamaa ya huyo mgeni;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Kama mgeni au msafiri anayekaa miongoni mwenu amekuwa tajiri na ndugu yako akawa maskini na kujiuza kwa huyo mgeni au huyo msafiri au kwa mmoja wa jamaa zao,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Ikiwa mgeni au mkazi wa muda katikati yako atakuwa tajiri na mmoja wa wazawa wa nchi yako akawa maskini, naye akajiuza kwa yule mgeni anayeishi katikati yako au kwa mmoja wa jamaa wa koo za wageni,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Ikiwa mgeni au mkazi wa muda katikati yako atakuwa tajiri, na mmoja wa wazawa wa nchi yako akawa maskini, naye akajiuza kwa yule mgeni anayeishi katikati yako, au kwa mmoja wa jamaa wa koo za wageni,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena kama mgeni au mtu akaaye nawe akitajirika, na nduguyo amekuwa maskini karibu naye, akajiuza kwa huyo mgeni, au kwa huyo akaaye kwako, au kwa ukoo wa jamaa ya huyo mgeni;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Kama mgeni au msafiri anayekaa miongoni mwenu amekuwa tajiri na ndugu yako akawa maskini na kujiuza kwa huyo mgeni au huyo msafiri au kwa mmoja wa jamaa zao,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mgeni au mwingine atakayekaa kwako akijipatia mali kwa kazi za mkono wake, naye ndugu yako anapatwa na ukosefu wa mali hapo alipo huyo, akajiuza kwake huyo mgeni au kwa mwingine atakayekaa kwako au kwa mwingine aliye wa ukoo mgeni,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena kama mgeni au mtu akaaye nawe akitajirika, na nduguyo amekuwa maskini karibu naye, akajiuza kwa huyo mgeni, au kwa huyo akaaye kwako, au kwa ukoo wa jamaa ya huyo mgeni;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama mugeni au musafiri anayekaa kati yenu amekuwa tajiri na ndugu yako akiwa masikini na kujiuzisha kwa huyo mugeni au huyo musafiri au kwa mumoja wa jamaa zao,