Leviticus 25:48 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
anaweza kukombolewa baada ya kujiuza; mmojawapo wa ndugu zake anaweza kumkomboa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
anayo haki ya kukombolewa baada ya kujiuza. Mmoja wa jamaa zake aweza kumkomboa:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
baada ya kuuzwa aweza kukombolewa; mtu mmoja miongoni mwa ndugu zake ana ruhusa kumkomboa;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
anaweza kukombolewa baada ya kujiuza; mmojawapo wa ndugu zake anaweza kumkomboa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
anayo haki ya kukombolewa baada ya kujiuza. Mmoja wa jamaa zake aweza kumkomboa:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
anayo haki ya kukombolewa baada ya kujiuza. Mmoja wa jamaa zake aweza kumkomboa:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
baada ya kuuzwa aweza kukombolewa; mtu mmoja miongoni mwa ndugu zake ana ruhusa kumkomboa;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
anaweza kukombolewa baada ya kujiuza; mmojawapo wa ndugu zake anaweza kumkomboa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
sharti awe na njia ya kukombolewa akiisha kujiuza; kila mmoja wao walio ndugu zake ataweza kumkomboa,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
baada ya kuuzwa aweza kukombolewa; mtu mmoja miongoni mwa ndugu zake ana ruhusa kumkomboa;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
anaweza kukombolewa kisha kujiuzisha, mumoja wa wandugu zake anaweza kumukomboa.