Leviticus 25:49 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mjomba wake anaweza pia kumkomboa, au binamu yake au ndugu wa karibu katika ukoo wake; anaweza pia kujikomboa yeye mwenyewe kama akiwa tajiri.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mjomba wake, au binamu yake, au yeyote aliye ndugu wa damu katika ukoo wake aweza kumkomboa. Au akifanikiwa, anaweza kujikomboa mwenyewe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
au mjomba wake, au mwana wa mjomba wake, ana ruhusa ya kumkomboa, au mtu awaye yote aliye karibu naye wa jamaa yake, ana ruhusa ya kumkomboa; au kwamba yeye mwenyewe amepata mali, ana ruhusa ya kujikomboa mwenyewe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mjomba wake anaweza pia kumkomboa, au binamu yake au ndugu wa karibu katika ukoo wake; anaweza pia kujikomboa yeye mwenyewe kama akiwa tajiri.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mjomba wake, au binamu yake, au ye yote aliye ndugu wa damu katika ukoo wake aweza kumkomboa. Au ikiwa atafanikiwa, anaweza kujikomboa mwenyewe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mjomba wake, au binamu yake, au yeyote aliye ndugu wa damu katika ukoo wake aweza kumkomboa. Au ikiwa atafanikiwa, anaweza kujikomboa mwenyewe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
au mjomba wake, au mwana wa mjomba wake, ana ruhusa ya kumkomboa, au mtu yeyote aliye karibu naye wa jamaa yake, ana ruhusa ya kumkomboa; au kama yeye mwenyewe amepata mali, ana ruhusa ya kujikomboa mwenyewe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mjomba wake anaweza pia kumkomboa, au binamu yake au ndugu wa karibu katika ukoo wake; anaweza pia kujikomboa yeye mwenyewe kama akiwa tajiri.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
au baba yake mkubwa au mdogo, au mwanawe ataweza kumkomboa, au mmoja wao waliozaliwa naye katika mlango wake ataweza kumkomboa au mwenyewe ataweza kujikomboa akijipatia mali za kutosha kwa kazi za mkono wake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
au mjomba wake, au mwana wa mjomba wake, ana ruhusa ya kumkomboa, au mtu awaye yote aliye karibu naye wa jamaa yake, ana ruhusa ya kumkomboa; au kwamba yeye mwenyewe amepata mali, ana ruhusa ya kujikomboa mwenyewe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mujomba wake anaweza vilevile kumukomboa, au binamu yake au ndugu wa karibu katika ukoo wake. Anaweza vilevile kujikomboa yeye mwenyewe kama akiwa tajiri.