Leviticus 25:51 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama idadi ya miaka mpaka mwaka wa ukumbusho wa miaka hamsini ni kubwa zaidi, basi atarudisha kiasi kikubwa cha bei aliyolipiwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ikiwa imebaki miaka mingi, ni lazima atalipia ukombozi wake fungu kubwa la bei iliyolipwa kumnunua.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwamba ikali imesalia miaka mingi, kama hesabu yake ilivyo ndivyo atakavyolipa bei ya ukombozi wake, katika hiyo fedha ambayo alinunuliwa kwayo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama idadi ya miaka mpaka mwaka wa ukumbusho wa miaka hamsini ni kubwa zaidi, basi atarudisha kiasi kikubwa cha bei aliyolipiwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ikiwa imebaki miaka mingi, ni lazima atalipia ukombozi wake fungu kubwa la bei iliyolipwa kumnunua yeye.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ikiwa imebaki miaka mingi, ni lazima atalipia ukombozi wake fungu kubwa la bei iliyolipwa kumnunua yeye.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikiwa ingali imesalia miaka mingi, kama hesabu yake ilivyo ndivyo atakavyolipa bei ya ukombozi wake, katika hiyo fedha ambayo alinunuliwa kwayo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama idadi ya miaka mpaka mwaka wa ukumbusho wa miaka hamsini ni kubwa zaidi, basi atarudisha kiasi kikubwa cha bei aliyolipiwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama miaka iko mingi bado, basi, katika hizo fedha, alizozipata alipojiuza, na arudishe hizo ziipasazo miaka iliyosalia kuwa makombozi yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwamba ikali imesalia miaka mingi, kama hesabu yake ilivyo ndivyo atakavyolipa bei ya ukombozi wake, katika hiyo fedha ambayo alinunuliwa kwayo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama hesabu ya miaka mpaka mwaka wa ukumbusho wa miaka makumi tano ni kubwa zaidi, basi atarudisha sehemu kubwa ya bei aliyolipiwa.