Leviticus 25:53 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Muda wote atakaokuwa kwa bwana wake ni lazima atendewe kama mtumishi aliyeajiriwa kila mwaka. Huyo aliyemnunua asimtendee kwa ukatili.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Atatendewa kama mtu wa kuajiriwa mwaka hadi mwaka; lazima uone kwamba yule aliyemnunua hamtawali kwa ukatili.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kama mtumishi aliyeajiriwa mwaka hata mwaka, ndivyo atakavyokuwa pamoja naye; asitawale juu yake kwa nguvu mbele ya macho yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Muda wote atakaokuwa kwa bwana wake ni lazima atendewe kama mtumishi aliyeajiriwa kila mwaka. Huyo aliyemnunua asimtendee kwa ukatili.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Atatendewa kama mtu wa kuajiriwa mwaka hadi mwaka; lazima uone kwamba yule aliyemnunua hamtawali kwa ukatili.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Atatendewa kama mtu wa kuajiriwa mwaka hadi mwaka; lazima uone kwamba yule aliyemnunua hamtawali kwa ukatili.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kama mtumishi aliyeajiriwa mwaka hadi mwaka, ndivyo atakavyokuwa pamoja naye; asitawale juu yake kwa nguvu mbele ya macho yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Muda wote atakaokuwa kwa bwana wake ni lazima atendewe kama mtumishi aliyeajiriwa kila mwaka. Huyo aliyemnunua asimtendee kwa ukatili.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwake Bwana wake na awe kama mtu wa kazi za mshahara mwaka kwa mwaka, naye yule asimtawale kwa ukorofi machoni pako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kama mtumishi aliyeajiriwa mwaka hata mwaka, ndivyo atakavyokuwa pamoja naye; asitawale juu yake kwa nguvu mbele ya macho yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Muda wote anapokuwa kwa bwana wake anapaswa kutendewa kama mutumishi wa mushahara kila mwaka. Huyo aliyemununua asimutendee kwa kinguvu.