Leviticus 25:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nchi itailisha mifugo yenu na wanyama wa porini wanaokaa miongoni mwenu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
vilevile malisho ya mifugo yenu na wanyama pori katika nchi yenu. Chochote nchi itakachozalisha kinaweza kuliwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na kwa hayawani wako, na kwa wanyama walio katika nchi yako; maongeo yote yatakuwa ni chakula chao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nchi itailisha mifugo yenu na wanyama wa porini wanaokaa miongoni mwenu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
vile vile malisho ya mifugo yenu na wanyama pori katika nchi yenu. Cho chote nchi itakachozalisha kinaweza kuliwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
vilevile malisho ya mifugo yenu na wanyama pori katika nchi yenu. Chochote nchi itakachozalisha kinaweza kuliwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na kwa wanyama wako, na kwa wanyama walio katika nchi yako; mavuno yote yatakuwa ni chakula chao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nchi itailisha mifugo yenu na wanyama wa porini wanaokaa miongoni mwenu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
nao nyama wako wa kufuga na nyama wa porini walioko katika nchi yao; hao wote na wayale mazao yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na kwa hayawani wako, na kwa wanyama walio katika nchi yako; maongeo yote yatakuwa ni chakula chao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Inchi itakulisha nyama wenu wa kufugwa na nyama wa pori wanaokaa kati yenu.