Leviticus 25:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Mtahesabu miaka saba mara saba na jumla yake ni miaka arubaini na tisa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Hesabu sabato saba za miaka saba, yaani miaka saba mara saba, ili sabato saba za miaka saba ziwe muda wa miaka arobaini na tisa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe utajihesabia Sabato saba za miaka, maana, miaka saba mara saba; zitakuwa ni siku za Sabato saba za miaka kwenu, maana miaka arobaini na kenda.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Mtahesabu miaka saba mara saba na jumla yake ni miaka arubaini na tisa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Hesabu Sabato saba za miaka, yaani miaka saba mara saba, ili kwamba Sabato saba za miaka utakuwa muda wa miaka arobaini na tisa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Hesabu Sabato saba za miaka, yaani miaka saba mara saba, ili Sabato saba za miaka utakuwa muda wa miaka arobaini na tisa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawe utajihesabia Sabato saba za miaka, yaani, miaka saba mara saba; zitakuwa ni siku za Sabato saba za miaka kwenu, yaani miaka arobaini na tisa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Mtahesabu miaka saba mara saba na jumla yake ni miaka arubaini na tisa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena uhesabu miaka saba ya mapumziko, ndio miaka saba mara saba, siku za hiyo miaka saba ya mapumziko ziwe kwako miaka 49.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe utajihesabia Sabato saba za miaka, maana, miaka saba mara saba; zitakuwa ni siku za Sabato saba za miaka kwenu, maana miaka arobaini na kenda.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutahesabu miaka saba mara saba na jumla yake ni miaka makumi ine na tisa.