Leviticus 26:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakati wa mavuno mtakuwa bado mnakula mazao ya zamani; tena itawalazimu kuondoa yaliyobaki kupata nafasi ya kuhifadhi mavuno mapya.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakati wa kuvuna mtakuwa bado mnakula mavuno ya mwaka uliopita, na itawalazimu kuyaondoa ghalani ili mpate nafasi ya mavuno mapya.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nanyi mtakula akiba ya zamani mliyoiweka siku nyingi, tena hayo ya zamani mtayatoa, ili myaweke yaliyo mapya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakati wa mavuno mtakuwa bado mnakula mazao ya zamani; tena itawalazimu kuondoa yaliyobaki kupata nafasi ya kuhifadhi mavuno mapya.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati wa kuvuna mtakuwa bado mnakula mavuno yaliyohifadhiwa muda mrefu, ndipo itawalazimu kuyaondoa ghalani ili mpate nafasi ya mavuno mapya.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati wa kuvuna mtakuwa bado mnakula mavuno ya mwaka uliopita, na itawalazimu kuyaondoa ghalani ili mpate nafasi ya mavuno mapya.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nanyi mtakula akiba ya zamani mliyoiweka siku nyingi, tena hayo ya zamani mtayatoa, ili myaweke yaliyo mapya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakati wa mavuno mtakuwa bado mnakula mazao ya zamani; tena itawalazimu kuondoa yaliyobaki kupata nafasi ya kuhifadhi mavuno mapya.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtakula ngano za kale zilizowekwa kale, tena hizo za kale mtaziondoa tu, mpate pa kuziwekea mpya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nanyi mtakula akiba ya zamani mliyoiweka siku nyingi, tena hayo ya zamani mtayatoa, ili myaweke yaliyo mapya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakati wa mavuno mutakuwa mungali munakula mazao ya zamani. Tena itawapasa kuondoa yaliyobaki kwa kupata nafasi ya kulinda mavuno mapya.