Leviticus 26:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitatembea kati yenu na kuwa Mungu wenu nanyi mtakuwa watu wangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitatembea kati yenu niwe Mungu wenu, nanyi mtakuwa watu wangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami nitakwenda kati yenu, nami nitakuwa Mungu wenu, nanyi mtakuwa watu wangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitatembea kati yenu na kuwa Mungu wenu nanyi mtakuwa watu wangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitatembea katikati yenu niwe Mungu wenu, nanyi mtakuwa watu wangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitatembea katikati yenu niwe Mungu wenu, nanyi mtakuwa watu wangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami nitakwenda kati yenu, nami nitakuwa Mungu wenu, nanyi mtakuwa watu wangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitatembea kati yenu na kuwa Mungu wenu nanyi mtakuwa watu wangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nitatembea katikati yenu, nami nitakuwa Mungu wenu, nanyi mtakuwa ukoo wangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami nitakwenda kati yenu, nami nitakuwa Mungu wenu, nanyi mtakuwa watu wangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitatembea kati yenu na kuwa Mungu wenu nanyi mutakuwa watu wangu.