Leviticus 26:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Lakini kama hamtanisikiliza wala kufuata amri zangu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Lakini kama hamtanisikiliza na kutimiza maagizo haya yote,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini msiponisikiza, wala hamtaki kuyafanya maagizo hayo yote;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Lakini kama hamtanisikiliza wala kufuata amri zangu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Lakini kama hamtanisikiliza na kutimiza maagizo haya yote,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Lakini kama hamtanisikiliza na kutimiza maagizo haya yote,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini msiponisikiliza, wala hamtaki kuyafanya maagizo hayo yote;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Lakini kama hamtanisikiliza wala kufuata amri zangu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini msiponisikia, msiyafanye maagizo haya yote,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini msiponisikiza, wala hamtaki kuyafanya maagizo hayo yote;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini kama hamutanisikiliza wala kufuata amri zangu,