Leviticus 26:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
kama mkidharau masharti yangu na kuchukia kwa roho maagizo yangu mkaacha kuzitii amri zangu zote na kuvunja agano langu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
nanyi kama mtazikataa amri zangu na kuzichukia sheria zangu, tena mkishindwa kutimiza amri zangu zote, na hivyo mkavunja agano langu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nanyi mkizikataa amri zangu, na roho yenu ikichukia hukumu zangu, hata ikawa hamtaki kuyafanya maagizo yangu yote, bali mwalivunja agano langu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kama mkidharau masharti yangu na kuchukia kwa roho maagizo yangu mkaacha kuzitii amri zangu zote na kuvunja agano langu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
nanyi kama mtazikataa amri zangu na kuzichukia sheria zangu, tena mkishindwa kutimiza amri zangu na hivyo mkavunja Agano langu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
nanyi kama mtazikataa amri zangu na kuzichukia sheria zangu, tena mkishindwa kutimiza amri zangu na hivyo mkavunja agano langu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nanyi mkizikataa amri zangu, na roho yenu ikichukia amri zangu, hata ikawa hamtaki kuyafanya maagizo yangu yote, bali mwalivunja agano langu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
kama mkidharau masharti yangu na kuchukia kwa roho maagizo yangu mkaacha kuzitii amri zangu zote na kuvunja agano langu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
myakatae maongozi yangu, roho zenu zikichukiwa na maamuzi yangu, msiyafanye maagizo yangu yote na kulivunja Agano langu,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nanyi mkizikataa amri zangu, na roho yenu ikichukia hukumu zangu, hata ikawa hamtaki kuyafanya maagizo yangu yote, bali mwalivunja agano langu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kama mukizarau masharti yangu na kuchukia kwa roho maagizo yangu mukiacha kutii amri zangu zote na kuvunja agano langu,