Leviticus 26:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Na Kama hata baada ya kuadhibiwa hivyo, hamtanisikiliza, basi, nitawaadhibu mara saba zaidi kwa ajili ya dhambi zenu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Kama baada ya haya yote hamtanisikiliza, nitawaadhibu mara saba zaidi kwa ajili ya dhambi zenu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena ikiwa baada ya hayo hamtaki kunisikiza, ndipo nitawaadhibu zaidi mara saba kwa ajili ya dhambi zenu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Na Kama hata baada ya kuadhibiwa hivyo, hamtanisikiliza, basi, nitawaadhibu mara saba zaidi kwa ajili ya dhambi zenu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Kama baada ya haya yote hamtanisikiliza, nitawaadhibu mara saba zaidi kwa ajili ya dhambi zenu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Kama baada ya haya yote hamtanisikiliza, nitawaadhibu mara saba zaidi kwa ajili ya dhambi zenu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena ikiwa baada ya hayo hamtaki kunisikiliza, ndipo nitawaadhibu zaidi mara saba kwa ajili ya dhambi zenu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Na Kama hata baada ya kuadhibiwa hivyo, hamtanisikiliza, basi, nitawaadhibu mara saba zaidi kwa ajili ya dhambi zenu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ijapo msinisikie napo hapo, nitaendelea kuwapatiliza mara saba kwa ajili ya ukosaji wenu,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena ikiwa baada ya hayo hamtaki kunisikiza, ndipo nitawaadhibu zaidi mara saba kwa ajili ya dhambi zenu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na kama hata kisha kuazibiwa hivyo hamutanisikiliza, basi, nitawaazibu mara saba zaidi kwa ajili ya zambi zenu.