Leviticus 26:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kiburi chenu nitakivunjilia mbali kwa kuzifanya mbingu huko juu kuwa ngumu kama chuma, na nchi yenu bila mvua iwe ngumu kama shaba.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitakivunja kiburi chenu cha ukaidi, na kuifanya anga iliyo juu yenu iwe kama chuma, na ardhi yenu kama shaba.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami nitakivunja kiburi cha uwezo wenu; nami nitazifanya mbingu zenu kuwa kama chuma, na nchi yenu kuwa kama shaba;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kiburi chenu nitakivunjilia mbali kwa kuzifanya mbingu huko juu kuwa ngumu kama chuma, na nchi yenu bila mvua iwe ngumu kama shaba.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitakivunja kiburi chenu cha ukaidi na kuifanya anga lililo juu yenu liwe kama chuma na ardhi yenu kama shaba.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitakivunja kiburi chenu cha ukaidi na kuifanya anga iliyo juu yenu iwe kama chuma, na ardhi yenu kama shaba.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami nitakivunja kiburi cha uwezo wenu; nami nitazifanya mbingu zenu kuwa kama chuma, na nchi yenu kuwa kama shaba;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kiburi chenu nitakivunjilia mbali kwa kuzifanya mbingu huko juu kuwa ngumu kama chuma, na nchi yenu bila mvua iwe ngumu kama shaba.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
niyavunje majivuno yenu yaliyo na nguvu nikizifanya mbingu za kwenu kuwa kama chuma nayo nchi yenu kuwa kama shaba.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami nitakivunja kiburi cha uwezo wenu; nami nitazifanya mbingu zenu kuwa kama chuma, na nchi yenu kuwa kama shaba;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kiburi chenu nitakivunja kabisa kwa kufanya mbingu kule juu kuwa ngumu kama chuma na inchi yenu bila mvua ikuwe ngumu kama shaba.