Leviticus 26:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtatumia nguvu zenu bure maana mashamba yenu hayatatoa mavuno na nchi yenu haitazaa matunda.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nguvu zenu zitatumika bila ya mafanikio, kwa sababu ardhi yenu haitawazalia mazao yake, wala miti ya nchi yenu haitazaa matunda yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na nguvu zenu mtazitumia bure; kwa kuwa nchi yenu haitazaa mazao yake, wala miti ya nchi haitazaa matunda yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtatumia nguvu zenu bure maana mashamba yenu hayatatoa mavuno na nchi yenu haitazaa matunda.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nguvu zenu zitatumika bila ya mafanikio, kwa sababu ardhi yenu haitawazalia mazao yake, wala miti ya nchi yenu haitazaa matunda yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nguvu zenu zitatumika bila ya mafanikio, kwa sababu ardhi yenu haitawazalia mazao yake, wala miti ya nchi yenu haitazaa matunda yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na nguvu zenu mtazitumia bure; kwa kuwa nchi yenu haitazaa mazao yake, wala miti ya nchi haitazaa matunda yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtatumia nguvu zenu bure maana mashamba yenu hayatatoa mavuno na nchi yenu haitazaa matunda.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, kazi zenu zitakapokuwa za kusumbuka bure tu, kwani nchi yenu haitatoa mazao yake, wala miti ya hiyo nchi haitazaa matunda yao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na nguvu zenu mtazitumia bure; kwa kuwa nchi yenu haitazaa mazao yake, wala miti ya nchi haitazaa matunda yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutatumia nguvu zenu bure maana mashamba yenu hayatatoa mavuno na inchi yenu haitazaa matunda.