Leviticus 26:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Kama mkiendelea kunipinga na kukataa kunisikiliza, nitazidisha tena adhabu yenu mara saba kadiri ya wingi wa dhambi zenu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Kama mtaendelea kuwa na uadui nami, na kukataa kunisikiliza, nitawazidishia mateso yenu mara saba zaidi, kama dhambi zenu zinavyostahili.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nanyi ikiwa mwaenenda kinyume changu, wala hamtaki kunisikiza; nitaleta mapigo mara saba zaidi juu yenu, kama dhambi zenu zilivyo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Kama mkiendelea kunipinga na kukataa kunisikiliza, nitazidisha tena adhabu yenu mara saba kadiri ya wingi wa dhambi zenu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Kama mtaendelea kuwa na uadui nami na kukataa kunisikiliza, nitawazidishia mateso yenu mara saba zaidi, kama dhambi zenu zinavyostahili.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Kama mtaendelea kuwa na uadui nami, na kukataa kunisikiliza, nitawazidishia mateso yenu mara saba zaidi, kama dhambi zenu zinavyostahili.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nanyi ikiwa mnaenda kinyume changu, wala hamtaki kunisikiliza; nitaleta mapigo mara saba zaidi juu yenu, kama dhambi zenu zilivyo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Kama mkiendelea kunipinga na kukataa kunisikiliza, nitazidisha tena adhabu yenu mara saba kadiri ya wingi wa dhambi zenu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ijapo hapo napo mwendelee kupingana na mimi na kukataa kusikia, nitaendelea kuwapatia mapigo yaliyo makali mara saba kwa ajili ya ukosaji wenu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nanyi ikiwa mwaenenda kinyume changu, wala hamtaki kunisikiza; nitaleta mapigo mara saba zaidi juu yenu, kama dhambi zenu zilivyo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama mukiendelea kunipinga na kukataa kunisikiliza, nitazidisha tena azabu yenu mara saba kadiri ya wingi wa zambi zenu.