Leviticus 26:23 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Kama hata baada ya adhabu hiyo bado hamnigeukii mimi, ila mnazidi kupingana nami,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Ikiwa pamoja na mambo haya hamtakubali maonyo yangu lakini mkaendelea kuweka uadui nami,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena kama hamtaki kurejezwa upya kwangu mimi kwa mambo haya, bali mwaendelea kunishikia kinyume; ndipo mimi nami nitaendelea kuwashikia ninyi kinyume;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Kama hata baada ya adhabu hiyo bado hamnigeukii mimi, ila mnazidi kupingana nami,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Ikiwa pamoja na mambo haya hamtakubali maonyo yangu lakini mkaendelea kuweka uadui nami,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Ikiwa pamoja na mambo haya hamtakubali maonyo yangu lakini mkaendelea kuweka uadui nami,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena kama hamtaki kurejeshwa upya kwangu mimi kwa mambo haya, bali mnaendelea kunifanyia kinyume; ndipo nami nitaendelea kuwafanyia kinyume;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Kama hata baada ya adhabu hiyo bado hamnigeukii mimi, ila mnazidi kupingana nami,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ijapo hapo napo msionyeke, mkaendelea kupingana na mimi,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena kama hamtaki kurejezwa upya kwangu mimi kwa mambo haya, bali mwaendelea kunishikia kinyume; ndipo mimi nami nitaendelea kuwashikia ninyi kinyume;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama hata kisha azabu hiyo bado hamunigeukii mimi, lakini munazidi kupingana nami,