Leviticus 26:24 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
basi, nami nitapingana nanyi na kuwaadhibu mara saba zaidi kwa ajili ya dhambi zenu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
mimi mwenyewe nitaweka uadui nanyi, na kuwatesa kwa ajili ya dhambi zenu mara saba zaidi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nami nitawapiga, naam mimi, mara saba kwa ajili ya dhambi zenu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
basi, nami nitapingana nanyi na kuwaadhibu mara saba zaidi kwa ajili ya dhambi zenu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
mimi mwenyewe nitaweka uadui nanyi na kuwatesa kwa ajili ya dhambi zenu mara saba zaidi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
mimi mwenyewe nitaweka uadui nanyi, na kuwatesa kwa ajili ya dhambi zenu mara saba zaidi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nami nitawapiga, mara saba kwa ajili ya dhambi zenu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
basi, nami nitapingana nanyi na kuwaadhibu mara saba zaidi kwa ajili ya dhambi zenu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
basi, mimi nami nitaendelea kupingana nanyi mimi mwenyewe nikiwapiga tena mapigo yaliyo makali mara saba kwa ajili ya ukosaji wenu:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nami nitawapiga, naam mimi, mara saba kwa ajili ya dhambi zenu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
basi, nami nitapingana nanyi na kuwaazibu mara saba zaidi kwa ajili ya zambi zenu.