Leviticus 26:27 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Na kama hata baada ya hayo yote bado hamtanisikiliza mkaendelea kunipinga,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Kama hata baada ya haya bado hamtanisikiliza lakini mkaendelea kuweka uadui nami,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena ikiwa baada ya hayo yote hamtaki kunisikiza, bali mwaenenda kwa kunishikia kinyume;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Na kama hata baada ya hayo yote bado hamtanisikiliza mkaendelea kunipinga,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Kama hata baada ya haya bado hamtanisikiliza lakini mkaendelea kuweka uadui nami,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Kama hata baada ya haya bado hamtanisikiliza lakini mkaendelea kuweka uadui nami,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena ikiwa baada ya hayo yote hamtaki kunisikiliza, bali mnaenda kinyume;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Na kama hata baada ya hayo yote bado hamtanisikiliza mkaendelea kunipinga,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ijapo hapo napo msinisikie, mkaendelea kupingana na mimi,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena ikiwa baada ya hayo yote hamtaki kunisikiza, bali mwaenenda kwa kunishikia kinyume;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na kama hata kisha hayo yote bado hamutanisikiliza mukiendelea kunipinga,